Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Strife: Avoid

4 mistari · 57 vipengele

Mistari kuhusu Avoid

  1. Hivyo Abramu akamwambia Loti, “Pasiwe na ugomvi wowote kati yangu na wewe, wala kati ya wachungaji wangu na wako, kwa kuwa sisi ni ndugu.

  2. Jitahidini kudumisha umoja wa Roho katika kifungo cha amani.

  3. asiwe mlevi, wala mkali bali awe mpole, asiwe mgomvi wala mpenda fedha.

  4. Tena haimpasi mtumishi wa Bwana kuwa mgomvi, bali inampasa awe mwema kwa kila mtu, awezaye kufundisha, tena mvumilivu.