Mistari ya Biblia kuhusu Strife: Strength and violence of-Illustrated
Mistari kuhusu Strength and violence of-Illustrated
Kuanzisha ugomvi ni kama kutoboa bwawa la maji; kwa hiyo acha jambo hilo kabla mabishano hayajaanza.
Ndugu aliyechukizwa ni mgumu kuridhika kuliko mji uliozungushiwa ngome, nayo mabishano ni kama malango ya ngome yenye makomeo.