Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Solomon: Plants vineyards and orchards of all kinds of fruit trees; makes pools

3 mistari · 46 vipengele

Mistari kuhusu Plants vineyards and orchards of all kinds of fruit trees; makes pools

  1. Nikafanya miradi mikubwa: Nikajijengea majumba na kulima mashamba ya mizabibu.

  2. Nikatengeneza bustani na viwanja vya starehe nikaotesha huko kila aina ya miti ya matunda.

  3. Nikajenga mabwawa ya kukusanya maji ya kunyweshea hii miti iliyokuwa inastawi vizuri.