Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Solomon: Named Jedidiah, by Nathan the prophet

2 mistari · 46 vipengele

Mistari kuhusu Named Jedidiah, by Nathan the prophet

  1. Ndipo Daudi akamfariji Bathsheba mkewe, akaingia kwake akakutana naye kimwili. Akazaa mwana, wakamwita jina lake Solomoni. Bwana alimpenda Solomoni.

  2. Kwa kuwa Bwana alimpenda, akatuma neno kwa Daudi kwa kinywa cha nabii Nathani kuwa mtoto aitwe Yedidia kwa ajili ya Bwana.