Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Shaul: 1. Son of Simeon

4 mistari · 2 vipengele

Mistari kuhusu 1. Son of Simeon

  1. Wana wa Simeoni ni: Yemueli, Yamini, Ohadi, Yakini, Sohari na Shauli mwana wa mwanamke Mkanaani.

  2. Wana wa Simeoni walikuwa Yemueli, Yamini, Ohadi, Yakini, Sohari na Shauli mwana wa mwanamke Mkanaani. Hawa walikuwa ndio koo za Simeoni.

  3. kutoka kwa Zera, ukoo wa Wazera; kutoka kwa Shauli, ukoo wa Washauli.

  4. Wazao wa Simeoni walikuwa: Nemueli, Yamini, Yaribu, Zera na Shauli.