Mistari ya Biblia kuhusu Self-Denial: Taking up the cross and following Christ
Mistari kuhusu Taking up the cross and following Christ
Tena yeyote asiyeuchukua msalaba wake na kunifuata, hastahili kuwa wangu.
Ndipo Yesu akawaambia wanafunzi wake, “Mtu yeyote akitaka kunifuata, ni lazima ajikane mwenyewe, auchukue msalaba wake, anifuate.