Mistari ya Biblia kuhusu Self-Denial: Denying ungodliness and worldly lusts
Mistari kuhusu Denying ungodliness and worldly lusts
Kwa hiyo, msiruhusu dhambi itawale ndani ya miili yenu, ipatikanayo na kufa, ili kuwafanya mzitii tamaa mbaya.
Nayo yatufundisha kukataa ubaya na tamaa za kidunia, ili tupate kuishi maisha ya kiasi, ya haki na ya utaua katika ulimwengu huu wa sasa,