Mistari ya Biblia kuhusu Self-Denial: Preferring Christ to all earthly relations
Mistari kuhusu Preferring Christ to all earthly relations
Mwanafunzi mwingine akamwambia, “Bwana, niruhusu kwanza nikamzike baba yangu.”
Lakini Yesu akamwambia, “Nifuate, uwaache wafu wawazike wafu wao.”
“Mtu yeyote anayekuja kwangu hawezi kuwa mwanafunzi wangu kama hatanipenda mimi zaidi ya baba yake na mama yake, mke wake na watoto wake, ndugu zake na dada zake, naam, hata maisha yake mwenyewe.