Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Self-Denial: A test of devotedness to Christ

4 mistari · 41 vipengele

Mistari kuhusu A test of devotedness to Christ

  1. “Yeyote ampendaye baba yake au mama yake kuliko anavyonipenda mimi, hastahili kuwa wangu. Yeyote ampendaye mwanawe au binti yake kuliko anavyonipenda mimi, hastahili kuwa wangu.

  2. Tena yeyote asiyeuchukua msalaba wake na kunifuata, hastahili kuwa wangu.

  3. Kisha akawaambia wote, “Mtu yeyote akitaka kunifuata, ni lazima ajikane mwenyewe, auchukue msalaba wake kila siku, anifuate.

  4. Kwa maana yeyote anayetaka kuyaokoa maisha yake atayapoteza, lakini yeyote atakayeyapoteza maisha yake kwa ajili yangu atayaokoa.