Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Seeking God: Punishment of those who neglect

3 mistari · 64 vipengele

Mistari kuhusu Punishment of those who neglect

  1. “Nitaiadhibu Yuda na wote wakaao Yerusalemu. Kutoka mahali hapa nitakatilia mbali kila mabaki ya Baali, majina ya wapagani na makuhani waabuduo sanamu:

  2. wale ambao husujudu juu ya mapaa kuabudu jeshi la vitu vya angani, wale ambao husujudu na kuapa kwa Bwana na ambao pia huapa kwa Malkamu,

  3. wale wanaoacha kumfuata Bwana, wala hawamtafuti Bwana wala kutaka shauri lake.