Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Seeking God: The city which God has prepared

3 mistari · 64 vipengele

Mistari kuhusu The city which God has prepared

  1. Kwa maana alikuwa akiutazamia mji wenye misingi ya kudumu ambao mwenye kuubuni na kuujenga ni Mungu.

  2. Lakini badala yake walitamani nchi iliyo bora zaidi, yaani nchi ya mbinguni. Kwa hiyo Mungu haoni aibu kuitwa Mungu wao, kwa kuwa amekwisha kuandaa mji kwa ajili yao.

  3. Kwa kuwa hapa hatuna mji udumuo, bali tunautafuta ule ujao.