Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Sanctification: Holiness

4 mistari · 28 vipengele

Mistari kuhusu Holiness

  1. Lakini sasa kwa kuwa mmewekwa huru mbali na dhambi na mmekuwa watumwa wa Mungu, faida mnayopata ni utakatifu, ambao mwisho wake ni uzima wa milele.

  2. Kwa hiyo, msishirikiane nao.

  3. Kwa maana zamani ninyi mlikuwa giza, lakini sasa ninyi ni nuru katika Bwana. Enendeni kama watoto wa nuru

  4. (kwa kuwa tunda la nuru hupatikana katika wema wote, haki na kweli),