Mistari ya Biblia kuhusu Sanctification: All Israel sanctified
Mistari kuhusu All Israel sanctified
Naye Bwana akamwambia Mose, “Nenda kwa watu ukawaweke wakfu leo na kesho. Waambie wafue nguo zao
Baada ya Mose kushuka kutoka mlimani akawaendea watu na kuwaweka wakfu, wakafua nguo zao.