Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Sacrifices: Thanksgiving

4 mistari · 55 vipengele

Mistari kuhusu Thanksgiving

  1. Kisha kichwa changu kitainuliwa juu ya adui zangu wanaonizunguka. Katika maskani yake nitatoa dhabihu kwa kelele za shangwe; nitamwimbia Bwana na kumsifu.

  2. Na watoe dhabihu za kushukuru, na wasimulie matendo yake kwa nyimbo za furaha.

  3. Nitakutolea dhabihu ya kukushukuru na kuliita jina la Bwana.

  4. Basi kwa njia ya Yesu, tuzidi kumtolea Mungu dhabihu ya sifa, yaani matunda ya midomo inayolikiri Jina lake.