Mistari ya Biblia kuhusu Sacrifices: Righteousness
Mistari kuhusu Righteousness
Toeni dhabihu zilizo haki; mtegemeeni Bwana.
Hapo ndipo kutakapokuwa na dhabihu za haki, sadaka nzima za kuteketezwa za kukupendeza sana, pia mafahali watatolewa madhabahuni mwako.