Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Rivers: Run into the sea

2 mistari · 59 vipengele

Mistari kuhusu Run into the sea

  1. Mito yote hutiririka baharini, hata hivyo bahari kamwe haijai. Mahali mito inapotoka, huko hurudi tena.

  2. Akaniambia, “Haya maji yanatiririka kuelekea nchi ya mashariki na kushuka mpaka Araba, ambapo huingia Baharini. Yanapomwagikia kwenye hiyo Bahari, maji yaliyoko humo huponywa na kuwa safi.