Mistari ya Biblia kuhusu Rivers: (Steady course of,) of peace of saints
Mistari kuhusu (Steady course of,) of peace of saints
Kwa kuwa hili ndilo asemalo Bwana: “Nitamwongezea amani kama mto, nao utajiri wa mataifa kama kijito kifurikacho; utanyonya na kuchukuliwa mikononi mwake na kubembelezwa magotini pake.