Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Reviling and Reproaching: Of Christ, predicted

3 mistari · 35 vipengele

Mistari kuhusu Of Christ, predicted

  1. Kwa kuwa wivu wa nyumba yako unanila, matukano ya wale wanaokutukana yameniangukia.

  2. dhihaka ambazo kwazo adui zako wamenisimanga, Ee Bwana, ambazo kwazo wamesimanga kila hatua ya mpakwa mafuta wako.

  3. Kwa maana hata Kristo hakujipendeza mwenyewe, bali kama ilivyoandikwa: “Matukano yao wale wanaokutukana wewe yalinipata mimi.”