Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Reviling and Reproaching: Of rulers specially forbidden

3 mistari · 35 vipengele

Mistari kuhusu Of rulers specially forbidden

  1. “Usimkufuru Mungu au kumlaani mtawala wa watu wako.

  2. Wale watu waliokuwa wamesimama karibu na Paulo wakamwambia, “Je, wewe wathubutu kumtukana kuhani mkuu wa Mungu?”

  3. Paulo akajibu, “Ndugu zangu, sikujua kwamba yeye alikuwa kuhani mkuu. Kwa maana imeandikwa, ‘Usimnenee mabaya kiongozi wa watu wako.’ ”