Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Rehob

8 mistari · 5 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Ukaendelea hadi Abdoni, Rehobu, Hamoni na Kana, na kufika Sidoni Kuu.

  2. Uma, Afeki na Rehobu. Ilikuwepo miji ishirini na miwili, pamoja na vijiji vyake.

  3. Helkathi na Rehobu, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne.

  4. Wala Asheri hawakuwafukuza wale walioishi huko Ako, Sidoni, Alabu, Akzibu, Helba, Afeki wala Rehobu

  5. Zaidi ya hayo, Daudi akapigana na Hadadezeri mwana wa Rehobu, mfalme wa Soba, alipokwenda kurudisha tena utawala wake kwenye eneo la Mto Frati.

  6. yaani Edomu, Moabu, Waamoni, Wafilisti na Waamaleki. Pia akaweka wakfu nyara alizoteka kutoka kwa Hadadezeri mwana wa Rehobu, mfalme wa Soba.

  7. Hukoki na Rehobu, pamoja na maeneo yake ya malisho.

  8. Mika, Rehobu, Hashabia,