Rehob
32.9500, 35.2100 Tazama kwenye Ramani za Google
Mistari inayomtaja Rehob
Uma, Afeki na Rehobu. Ilikuwepo miji ishirini na miwili, pamoja na vijiji vyake.
Helkathi na Rehobu, pamoja na sehemu zake za malisho, ilikuwa miji minne.
Wala Asheri hawakuwafukuza wale walioishi huko Ako, Sidoni, Alabu, Akzibu, Helba, Afeki wala Rehobu
Hukoki na Rehobu, pamoja na maeneo yake ya malisho.