Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Achzib

4 mistari · 2 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Akamzaa mwana mwingine tena, akamwita Shela. Huyu alimzalia mahali paitwapo Kezibu.

  2. Keila, Akzibu na Maresha; yote ni miji tisa pamoja na vijiji vyake.

  3. Mpaka huo ukageukia nyuma kuelekea Rama na kwenda hadi kwenye mji wenye ngome wa Tiro, ukageuka kuelekea Hosa na kutokeza baharini katika eneo la Akzibu,

  4. Wala Asheri hawakuwafukuza wale walioishi huko Ako, Sidoni, Alabu, Akzibu, Helba, Afeki wala Rehobu