Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Rebellion Against God: Provokes Christ

3 mistari · 63 vipengele

Tafuta "Rebellion Against God"

Mistari kuhusu Provokes Christ

  1. “Tazama, ninamtuma malaika akutangulie mbele yako akulinde njiani na kukuleta mpaka mahali nilipoandaa.

  2. Mtamtii na kusikiliza kile anachokisema. Usiasi dhidi yake; hatakusamehe uasi wako, kwa maana Jina langu limo ndani yake.

  3. Wala tusimjaribu Kristo, kama baadhi yao walivyofanya, wakafa kwa kuumwa na nyoka.