Mistari ya Biblia kuhusu Rebellion Against God: Unbelief
Mistari kuhusu Unbelief
Vilevile wakati Bwana alipowatuma kutoka Kadesh-Barnea, alisema, “Kweeni, mkaimiliki nchi ambayo nimewapa.” Lakini mliasi dhidi ya agizo la Bwana Mungu wenu. Hamkumtegemea wala kumtii.
Kisha waliidharau ile nchi nzuri, hawakuiamini ahadi yake.
Walinungʼunika ndani ya mahema yao, wala hawakumtii Bwana.