Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Owl

11 mistari · 2 vipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. mbuni, kiruka-njia, dudumizi, kipanga, shakwe, aina zote za kipanga,

  2. bundi, mnandi, bundi mkubwa,

  3. mbuni, kiruka-njia, dudumizi, kipanga wa aina yoyote,

  4. bundi, mumbi, bundi mkubwa,

  5. Nimekuwa ndugu wa mbweha, rafiki wa mabundi.

  6. Lakini viumbe wa jangwani watalala huko, mbweha watajaza nyumba zake, bundi wataishi humo nao mbuzi-mwitu watarukaruka humo.

  7. Bundi wa jangwani na bundi mwenye sauti nyembamba wataimiliki, bundi wakubwa na kunguru wataweka viota humo. Mungu atanyoosha juu ya Edomu kamba ya kupimia ya machafuko matupu, na timazi ya ukiwa.

  8. Miiba itaenea katika ngome za ndani, viwawi na michongoma itaota kwenye ngome zake. Itakuwa maskani ya mbweha, makao ya bundi.

  9. Wanyama wa mwituni wataniheshimu, mbweha na bundi, kwa sababu ninawapatia maji jangwani, na vijito katika nchi kame, ili kuwapa watu wangu maji, wale niliowachagua,

  10. “Kwa hiyo, viumbe vya jangwani na fisi wataishi humo, nao bundi watakaa humo. Kamwe haitakaliwa tena wala watu hawataishi humo kutoka kizazi hadi kizazi.

  11. Kwa ajili ya hili nitalia na kuomboleza; nitatembea bila viatu na tena uchi. Nitabweka kama mbweha na kuomboleza kama bundi.