Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Oppression: God's aid promised against

4 mistari · 8 vipengele

Mistari kuhusu God's aid promised against

  1. “Kwa sababu ya uonevu wa wanyonge na kulia kwa uchungu kwa wahitaji, nitainuka sasa,” asema Bwana. “Nitawalinda kutokana na wale wenye nia mbaya juu yao.”

  2. Atawatetea walioonewa miongoni mwa watu na atawaokoa watoto wa wahitaji, ataponda mdhalimu.

  3. Atawaokoa kutoka uonevu na ukatili, kwani damu yao ni ya thamani machoni pake.

  4. Lakini Mkombozi wao ana nguvu; Bwana Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake. Atatetea kwa nguvu shauri lao ili alete raha katika nchi yao, lakini ataleta msukosuko kwa wale waishio Babeli.