Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Oppression: Prayers against

5 mistari · 8 vipengele

Mistari kuhusu Prayers against

  1. kutokana na waovu wanaonishambulia, kutokana na adui wauaji wanaonizunguka.

  2. Kwa nini unauficha uso wako na kusahau taabu na mateso yetu?

  3. Nimetenda yaliyo haki na sawa, usiniache mikononi mwa watesi wangu.

  4. Niokoe na uonevu wa wanadamu, ili niweze kutii mausia yako.

  5. Nililia kama mbayuwayu au korongo, niliomboleza kama hua aombolezaye. Macho yangu yalififia nilipotazama mbinguni. Ee Bwana, ninataabika, njoo unisaidie!”