Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Murder: Herodias and her daughter

4 mistari · 88 vipengele

Mistari kuhusu Herodias and her daughter

  1. Huyo binti, akiwa amechochewa na mama yake, akasema, “Nipe kichwa cha Yohana Mbatizaji kwenye sinia.”

  2. Mfalme akasikitika, lakini kwa sababu ya viapo alivyoapa mbele ya wageni, akaamuru kwamba apatiwe ombi lake.

  3. Hivyo akaagiza Yohana Mbatizaji akatwe kichwa mle gerezani.

  4. Kichwa chake kikaletwa kwenye sinia, akapewa yule binti, naye akampelekea mama yake.