Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Moth: Figurative

3 mistari · 3 vipengele

Mistari kuhusu Figurative

  1. “Msijiwekee hazina duniani, mahali ambapo nondo na kutu huharibu, nao wevi huvunja na kuiba.

  2. Lakini jiwekeeni hazina mbinguni, mahali ambapo nondo na kutu haviharibu, wala wevi hawavunji na kuiba.

  3. Utajiri wenu umeoza na mavazi yenu yameliwa na nondo.