Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Moth: Destructive of garments

4 mistari · 3 vipengele

Mistari kuhusu Destructive of garments

  1. “Hivyo mwanadamu huangamia kama kitu kilichooza, kama vazi lililoliwa na nondo.

  2. Ni Bwana Mwenyezi anisaidiaye mimi. Ni nani huyo atakayenihukumu? Wote watachakaa kama vazi, nondo watawala wawamalize.

  3. Kwa maana nondo atawala kama vazi, nao funza atawatafuna kama sufu. Lakini haki yangu itadumu milele, wokovu wangu kwa vizazi vyote.”

  4. Mimi ni kama nondo kwa Efraimu, na kama uozo kwa watu wa Yuda.