Mistari ya Biblia kuhusu Morning: (Spread upon the mountains,) of heavy calamities
Mistari kuhusu (Spread upon the mountains,) of heavy calamities
siku ya giza na huzuni, siku ya mawingu na utusitusi. Kama mapambazuko yasambaavyo toka upande huu wa milima hata upande mwingine jeshi kubwa na lenye nguvu linakuja. Jambo kama hili halijakuwepo tangu zamani wala halitakuwepo tena kamwe kwa vizazi vijavyo.