Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Morning: Offered a part of the daily sacrifice in

6 mistari · 27 vipengele

Mistari kuhusu Offered a part of the daily sacrifice in

  1. “Kwa kawaida hiki ndicho utakachotoa juu ya madhabahu kila siku: wana-kondoo wawili wenye umri wa mwaka mmoja.

  2. Utamtoa mmoja asubuhi na huyo mwingine jioni.

  3. Andaa mwana-kondoo mmoja asubuhi na mwingine jioni,

  4. kila mmoja atolewe pamoja na sadaka ya nafaka sehemu ya kumi ya efa ya unga laini uliochanganywa pamoja na robo ya hini ya mafuta ya zeituni.

  5. Hii ni sadaka ya kawaida ya kuteketezwa iliyoanzishwa katika Mlima Sinai kama harufu nzuri ya kupendeza, sadaka iliyotolewa kwa Bwana kwa moto.

  6. Sadaka ya kinywaji itakayotolewa pamoja na kila mwana-kondoo ni robo ya hini ya kinywaji kilichochachuka. Mimina sadaka ya kinywaji kwa Bwana mahali patakatifu.