Mistari ya Biblia kuhusu Miracles: Marvellous works
Mistari kuhusu Marvellous works
Kumbuka matendo ya ajabu aliyoyafanya, miujiza yake na hukumu alizozitamka,
Kwa hiyo mara nyingine tena nitawashangaza watu hawa, kwa ajabu juu ya ajabu. Hekima ya wenye hekima itapotea, nayo akili ya wenye akili itatoweka.”