Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Miracles Through Evil Agents: Performed through the power of the devil

2 mistari · 10 vipengele

Mistari kuhusu Performed through the power of the devil

  1. Kuja kwa yule mwasi kutaonekana kana kwamba ni kutenda kazi kwake Shetani ambaye hutumia nguvu zote, ishara, maajabu ya uongo,

  2. Hizo ndizo roho za pepo wachafu zitendazo miujiza. Nazo huwaendea wafalme wa ulimwengu wote na kuwakusanya tayari kwa ajili ya vita katika siku ile kuu ya Mungu Mwenyezi.