Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Medo-Persian Kingdom: Shushan a chief city of

2 mistari · 34 vipengele

Mistari kuhusu Shushan a chief city of

  1. Wakati huo Mfalme Ahasuero alitawala katika kiti chake cha enzi katika ngome ya mji wa Shushani.

  2. Mordekai akaondoka mbele ya mfalme akiwa amevaa mavazi ya kifalme ya buluu na nyeupe, taji kubwa la dhahabu na joho la zambarau la kitani safi. Na mji wa Shushani ukasherehekea kwa furaha.