Skip to content

Darius

8 mistari · 1 mwanafamilia

Mistari inayomtaja Darius

  1. naye Dario Mmedi akashika ufalme akiwa na miaka sitini na miwili.

  2. Ilimpendeza Dario kuteua wakuu 120 kutawala katika ufalme wake wote,

  3. Basi wasimamizi na wakuu wakaingia kwa mfalme kama kikundi wakasema, “Ee Mfalme Dario, uishi milele!

  4. Hivyo Mfalme Dario akaiweka amri hiyo katika maandishi.

  5. Kisha Mfalme Dario akawaandikia kabila zote za watu, mataifa, na watu wa kila lugha katika nchi yote: “Ninyi na mstawi sana!

  6. Hivyo Danieli akastawi wakati wa utawala wa Dario, na utawala wa Koreshi Mwajemi.

  7. Katika mwaka wa kwanza wa utawala wa Dario mwana wa Ahasuero (mzaliwa wa Umedi), ambaye alifanywa mtawala juu ya ufalme wa Babeli,

  8. Nami katika mwaka wa kwanza wa utawala wa Dario Mmedi, nilisimama kumsaidia na kumlinda.)