Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Marriage: Were allowed divorce from, because of hardness of their hearts

3 mistari · 83 vipengele

Mistari kuhusu Were allowed divorce from, because of hardness of their hearts

  1. Ikiwa mtu atamwoa mke na akamchukia kwa sababu ya kukosa adabu, naye akamwandikia hati ya talaka, akampa na kumfukuza kutoka nyumbani kwake,

  2. Wakamuuliza, “Kwa nini basi Mose aliagiza mtu kumpa mkewe hati ya talaka na kumwacha?”

  3. Yesu akawajibu, “Mose aliwaruhusu kuwaacha wake zenu kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu. Lakini tangu mwanzo haikuwa hivyo.