Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Marriage: Obligations under, inferior to duty to God

5 mistari · 83 vipengele

Mistari kuhusu Obligations under, inferior to duty to God

  1. Kama ndugu yako hasa, au mwanao au binti yako, au mke umpendaye, au rafiki yako wa karibu sana akikushawishi kwa siri, akisema, “Na twende tukaabudu miungu mingine” (miungu ambayo ninyi wala baba zenu hamkuifahamu,

  2. miungu ya watu wanaowazunguka, ikiwa karibu au mbali, kutoka mwisho mmoja wa nchi mpaka mwingine),

  3. usikubali wala usimsikilize. Usimhurumie! Usimwache wala usimkinge.

  4. Hakika ni lazima auawe. Ni lazima mkono wako uwe wa kwanza katika kumuua kisha mikono ya watu wengine wote.

  5. Mpigeni kwa mawe mpaka afe, kwa sababu alijaribu kuwageuza mtoke kwa Bwana Mungu wenu ambaye aliwatoa Misri, kutoka nchi ya utumwa.