Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Marriage: Often contracted by parents for children

3 mistari · 83 vipengele

Mistari kuhusu Often contracted by parents for children

  1. Ikiwa mtaonyesha wema na uaminifu kwa bwana wangu, mniambie, la sivyo, mniambie, ili niweze kujua njia ya kugeukia.”

  2. Labani na Bethueli wakajibu, “Jambo hili limetoka kwa Bwana, hatuwezi kukuambia jambo lolote baya au jema.

  3. Rebeka yuko hapa, mchukue na uende, awe mke wa mwana wa bwana wako, sawasawa na Bwana alivyoongoza.”