Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Malice: Saints avoid

3 mistari · 29 vipengele

Mistari kuhusu Saints avoid

  1. Wananilipa baya kwa jema na kuiacha nafsi yangu ukiwa.

  2. Lakini walipokuwa wagonjwa, nilivaa nguo ya gunia na nikajinyenyekesha kwa kufunga. Maombi yangu yaliponirudia bila kujibiwa,

  3. niliendelea kuomboleza kama vile wao ni rafiki au ndugu. Niliinamisha kichwa chini kwa huzuni kama ninayemwombolezea mama yangu.