Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Love to Man: Is the second great commandment

3 mistari · 73 vipengele

Mistari kuhusu Is the second great commandment

  1. Yesu akamjibu, “ ‘Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote na kwa roho yako yote na kwa akili zako zote.’

  2. Hii ndiyo amri iliyo kuu, tena ni ya kwanza.

  3. Nayo ya pili ni kama hiyo, nayo ni hii: ‘Mpende jirani yako kama nafsi yako.’