Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Love to Man: Is the fulfilling of the law

3 mistari · 73 vipengele

Mistari kuhusu Is the fulfilling of the law

  1. Msidaiwe kitu na mtu yeyote, isipokuwa kupendana, kwa maana yeye ampendaye mwenzake, ameitimiza sheria.

  2. Kwa kuwa amri hizi zisemazo, “Usizini,” “Usiue,” “Usiibe,” “Usitamani,” na amri nyingine zote, zinajumlishwa katika amri hii moja: “Mpende jirani yako kama nafsi yako.”

  3. Upendo haumfanyii jirani jambo baya. Kwa hiyo upendo ndio utimilifu wa sheria.