Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Judaism

31 mistari · 1 kipengele

Mistari muhimu ya Biblia

  1. Kama mtu akikulazimisha kwenda maili moja, nenda naye maili mbili.

  2. Mpe yeye akuombaye, wala usimgeuzie kisogo yeye atakaye kukukopa.

  3. “Mmesikia kwamba ilinenwa, ‘Mpende jirani yako na umchukie adui yako.’

  4. Lakini ninawaambia: Wapendeni adui zenu na waombeeni wanaowatesa ninyi,

  5. “Hakuna mtu anayeshonea kiraka kipya kwenye nguo iliyochakaa, kwa maana kile kiraka kitachanika kutoka kwenye hiyo nguo, nayo hiyo nguo itachanika zaidi.

  6. Wala watu hawaweki divai mpya kwenye viriba vikuukuu. Kama wakifanya hivyo, viriba vitapasuka nayo divai itamwagika, navyo viriba vitaharibika. Lakini divai mpya huwekwa kwenye viriba vipya, na hivyo divai na viriba huwa salama.”