Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Fish: Broiled

5 mistari · 6 vipengele

Mistari kuhusu Broiled

  1. Walipofika ufuoni, wakaona moto wa makaa na samaki wakiokwa juu yake na mikate.

  2. Yesu akawaambia, “Leteni baadhi ya hao samaki mliovua sasa hivi.”

  3. Simoni Petro akapanda kwenye mashua na kuukokota ule wavu pwani. Ulikuwa umejaa samaki wakubwa 153. Ingawa samaki walikuwa wengi kiasi hicho, ule wavu haukuchanika.

  4. Yesu akawaambia, “Njooni mpate kifungua kinywa.” Hakuna hata mmoja wa wanafunzi aliyethubutu kumuuliza, “Wewe ni nani?” Kwa sababu walijua ya kuwa ni Bwana.

  5. Yesu akaja, akachukua ule mkate, akawapa na vivyo hivyo akawagawia pia wale samaki.