Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Beasts: Wild Ass

4 mistari · 90 vipengele

Mistari kuhusu Wild Ass

  1. “Ni nani aliyemwachia punda-mwitu awe huru? Ni nani aliyezifungua kamba zake?

  2. Nimempa nchi isiyokaliwa na watu kuwa masikani yake, nchi ya chumvi kuwa makao yake.

  3. Huzicheka ghasia za mji, wala hasikii kelele za mwendesha gari.

  4. Huzunguka vilimani kwa ajili ya malisho na kutafuta kila kitu kibichi.