Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Beasts: Devoid of immortality

4 mistari · 90 vipengele

Mistari kuhusu Devoid of immortality

  1. Lakini mwanadamu, licha ya utajiri wake, hadumu; anafanana na mnyama aangamiaye.

  2. Hii ndiyo hatima ya wale wanaojitumainia wenyewe, pia ya wafuasi wao, waliothibitisha misemo yao.

  3. Kama kondoo, wamewekewa kwenda kaburini, nacho kifo kitawala. Wanyofu watawatawala asubuhi, maumbile yao yataozea kaburini, mbali na majumba yao makubwa ya fahari.

  4. Lakini Mungu atakomboa uhai wangu na kaburi, hakika atanichukua kwake.