Skip to content

Mistari ya Biblia kuhusu Apostles: Names of

11 mistari · 11 vipengele

Mistari kuhusu Names of

  1. Haya ndiyo majina ya hao mitume kumi na wawili: wa kwanza, Simoni aitwaye Petro, na Andrea nduguye; Yakobo mwana wa Zebedayo, na Yohana nduguye;

  2. Filipo, na Bartholomayo; Tomaso, na Mathayo mtoza ushuru; Yakobo mwana wa Alfayo, na Thadayo;

  3. Simoni Mkananayo, na Yuda Iskariote aliyemsaliti Yesu.

  4. Hawa ndio wale kumi na wawili aliowachagua: Simoni (ambaye alimwita Petro);

  5. Yakobo mwana wa Zebedayo, na Yohana nduguye (ambao aliwaita Boanerge, maana yake Wana wa Ngurumo);

  6. Andrea, Filipo, Bartholomayo, Mathayo, Tomaso, Yakobo mwana wa Alfayo, Thadayo, Simoni Mkananayo,

  7. na Yuda Iskariote aliyemsaliti Yesu.

  8. Kulipopambazuka, akawaita wanafunzi wake, naye akachagua kumi na wawili, ambao pia aliwaita mitume:

  9. Simoni aliyemwita Petro, Andrea nduguye, Yakobo, Yohana, Filipo, Bartholomayo,

  10. Mathayo, Tomaso, Yakobo mwana wa Alfayo, Simoni aliyeitwa Zelote,

  11. Yuda mwana wa Yakobo, na Yuda Iskariote ambaye alikuwa msaliti.