Rukia maudhui

Mistari ya Biblia kuhusu Answers To Prayer: Blind man

4 mistari · 85 vipengele

Mistari kuhusu Blind man

  1. Akapaza sauti, akasema, “Yesu, Mwana wa Daudi, nihurumie!”

  2. “Unataka nikufanyie nini?” Akajibu, “Bwana, nataka kuona.”

  3. Yesu akamwambia, “Basi upate kuona. Imani yako imekuponya.”

  4. Akapata kuona saa ile ile, akamfuata Yesu, huku akimsifu Mungu. Watu wote walipoona mambo hayo, nao wakamsifu Mungu.