Mistari ya Biblia kuhusu Answers To Prayer: Are wavering
Mistari kuhusu Are wavering
Lakini anapoomba, lazima aamini wala asiwe na shaka, kwa sababu mtu aliye na shaka ni kama wimbi la bahari, lililochukuliwa na upepo na kutupwa huku na huku.
Mtu kama huyo asidhani ya kuwa atapata kitu chochote kutoka kwa Bwana.