Skip to content

Lehi

3 verses

31.7500, 34.9700 Tazama kwenye Ramani za Google

Mistari inayomtaja Lehi

  1. Wafilisti wakapanda na kupiga kambi huko Yuda na kuenea huko Lehi.

  2. Alipokaribia Lehi, Wafilisti wakamjia wakipiga kelele. Roho wa Bwana akamjia juu yake kwa nguvu. Kamba zilizomfunga mikono yake zikawa kama kitani iliyochomwa kwa moto, na vifungo vyake vikaanguka chini toka mikononi mwake.

  3. Bwana akafunua shimo huko Lehi, pakatoka maji. Samsoni alipoyanywa, nguvu zikamrudia na kuhuika. Hivyo chemchemi ile ikaitwa En-Hakore, nayo iko mpaka leo huko Lehi.